Muigizaji huyo na mmoja wa watayarishaji wa filamu ya Vin Diesel alijipatia umaarufu katika filamu mbalimbali ikiwemo ile inayoitwa fast and furious ambayo inapendwa na watu wengi duniani. Alitangaza kuwa kutakuwa na toleo la filamu ya Fast and furious x ambayo itakuwa na sehemu  Filamu hii inakuja baada ya kutolewa kwa mara ya mwisho fast and furious 9 ambayo ilitolewa tarehe 25/6/2021 Fast and Furious X ilichukua dola milioni 340  Imepangwa kwenda nje ya nchi tarehe 19/05/2023 Filamu hiyo iliongozwa na Louis Leterrier na kutayarishwa na Vin Diesel, Justin Lin, Samantha Vicent, Jeff Kirschenb

Muigizaji huyo na mmoja wa watayarishaji wa filamu ya Vin Diesel alijipatia umaarufu katika filamu mbalimbali ikiwemo ile inayoitwa fast and furious ambayo inapendwa na watu wengi duniani.

Alitangaza kuwa kutakuwa na toleo la filamu ya Fast and furious x ambayo itakuwa na sehemu 

Filamu hii inakuja baada ya kutolewa kwa mara ya mwisho fast and furious 9 ambayo ilitolewa tarehe 25/6/2021

Fast and Furious X ilichukua dola milioni 340

 Imepangwa kwenda nje ya nchi tarehe 19/05/2023

Filamu hiyo iliongozwa na Louis Leterrier na kutayarishwa na Vin Diesel, Justin Lin, Samantha Vicent, Jeff Kirschenbaum, Neal H. Moritz.

Itasambazwa na picha za Universal

A little more informed. A little more connected.